Orbot - Tor VPN for Smartphones

Weka trafiki ya apu yako kwa faragha na usizuiliwe.

tor-logo

Tor inaendeshwa na watu wengi tofauti. Hakuna kampuni moja au mtu anayeweza kuona shughuli zako kwenye mtandao unapotumia Tor.

Jufunze kuhusu Tor katika torproject.org
EncryptedTraffic-icon

Trafiki iliyosimbwa.

Trafiki yako ya mtandao inasimbwa kwa njia fiche kisha inarushwa katika sehemu tatu tofauti duniani kabla ya kufika inakoenda.

FaraghaMtandaoni - ikoni

Faragha Mtandaoni.

Wahusika wengine hawatajua ni api gani unazotumia. Anwani yako halisi ya IP haijafichuliwa.

HakunaUdhibiti-ikoni

Hakuna udhibiti.

Pata ufikiaji wa api na maudhui, bila kujali jiografia yako au vikwazo vya mtandao.

HakunaUfuatiliaji-ikoni

Hakuna ufuatiliaji.

Watoa huduma za mtandao (ISP) na waendeshaji mtandao wa wifi hawawezi kuona kuvinjari kwako.

NoTracking-icon

No tracking.

Wewe ndiwe mwenye mamlaka. Zuia wengine wasiweze kukufuatilia.

screenshots-image

Kanusho

Utumiaji wa Orbot hauhakikishi usalama au faragha. Inapatiana vipengele vinavyoweza kuimarisha faragha na kutokujulikana kwa trafiki ya mtandao wako. Tafadhali kumbuka yafuatayo…

If you use Orbot to log into apps that you normally access outside of the Tor network, the app may be able to identify you and know that you are using Tor. In certain circumstances (e.g. political dissent in repressive nations), this may be incriminating information in itself.

Geolocation, Media and Mobile Info

Apps may use the Geolocation API (to view your current GPS location), access photos and video in external storage, or extract data about your mobile phone, like phone number and carrier info. Users should also remain vigilant for any pop-ups asking for permission for access.

Taarifa zaidi

The Tor Project maintains a small page of tips about staying anonymous while using Tor.

A log of Orbot release notes, including previous security issues, bug fixes and more is available here. You can also see the GitHub project for a current list of known issues.

Huru na Wazi.

Orbot ni apu huru! Saidia usanidi unaoendelea wa apu. Shiriki upendo.